Skip to main content

Posts

Featured

Wezi wa mitandaoni Walivyotiwa Mbaroni na Jeshi la Polisi Dodoma

Jeshi la Polisi limewakamata watu wawili wanaotuhumiwa kuiba fedha kwa njia ya Mtandao, ambao wanatumia pikipiki yenye namba za usajili bandia MC. 759 AHW na Chassis namba PFZWFK47770 aina ya boxer. Kamanda aliwataja Watuhumiwa hao kuwa ni Joseph Bakari Msinati (32) Mkazi wa Frelimo Iringa na Elisha Athman Mdemu(35)Mkazi wa Kihesa Iringa,ambao walitumia pikipiki hiyo kusafiri mikoa Mbalimbali mijini na vijijini kuiba bidhaa za dukani . “Watuhumiwa hawa wanafika kwenye maduka na kuagiza bidhaa mbalimbali na kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa simu, Mara baada ya kulipa na mpokeaji kujiridhisha kupokea fedha hiyo wanaondoka na bidhaa. “Na baada ya dakika chache waharifu hao wanapiga simu kwenye Kampuni namba ya huduma kwa mteja na kudai kuwa warejeshewe fedha kwa kuwa wameituma kimakosa, na bidhaa kwenda kuuzwa kwa watu wengine kwa bei nafuu,” alisema Muroto. Pia Kamanda alisema wamefanikiwa kumkamata Daudi Charles (25) Mkazi wa Mbagala akiwa na noti bandia 50 za shilingi elfu 10 amba...

Latest Posts

Inasikitisha..MunaLove Aamua Kufunguka Ukweli Nani ni Baba wa Marehemu Patrick Kati ya Castro Dickson na Peter

Mama Hamisa apata kigugumizi Diamond kumpa mwanaye ujauzito mwingine

Wabunge Wahoji Ahadi ya Milioni 50 Kwa Kila Kijiji Iliyotolewa Na Rais Magufuli

Nimechanganyikiwa Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana

Wabongo Hamjui tuu 'Venessa na Jux ni Beyonce na Jay -z wa Bongo' Mimi Mars Apigilia Msumari

Babu Tale Atua Afrika ya Kusini, Akutana na Zari

Baby Madaha 'Sipendi Kutoa Papa Yangu Kwa Wanaume Wakibongo ni Wababaishaji Wananitia Nuksi